Diamond Platnumz - Acha Nikae Kimya lyrics


[Verse 1]
Mmm mmm
Mama ananambia Na**ib mi ni
Mtu mzma nawe ndo nakutegemea
Yanayotokea jaribu kupiga kimya
Usidiriki ata kuongea
Mara nasikis vya aibu konda gwajima
Eti ugomvi umekolea
Kuchunguza karibu ni binti mmoja
Kwa mitandao wanachochea
Najariibu kunyamaza ila moyo hautakii
Unanambia eti simba japo unguruma uisemee hakii
Ooh najaribu kunyamaza ata laizer ataki yooh
Anasema walau nena kidogo hiih

[Pre-Hook/Chorus]
Na mashsbiki Dangote
Wananambia mbona husemi chochote ah
Si uko siku zote
Ama ulezi unafanya uogope ah
Na media pande zote
Wanalalama kiongozi atoke eh
Nchi inaingia matope
Niende wapi na mi mtoto wa wote

[Hook/Chorus]
Yaani lawama wacha nikae kimya
MMh nisiongee “Kimya”
Ooh ninyamaze mimi “Nikae kimya”
Nisiseme “Kimya”
Mama kanambia “Wacha nikae kimya”
Ooh nifunge mdomo “Kimya”
Mie bado mdogo sana “Nikae kimya”
Nisiseme “Kimya”

[Verse 2]
Mmh ni mengi majaribu
Najittaidi epuka yasije nipost
Japo mengine swadakta mengine hayana maana
Rafiki kipenzi wa karibu
Hata nyimbo yake sikuweza ipost
Ila alivokamatwa iliniumiza sana


Mitandaondi kila kona
Uongo na ukweli unashonwa
Kila nyumba inanong'ona
Ah oh Tanzania
Mara kimbembe Dodoma
Bunge upinzani wamegoma
Juzi akapotea na Roma

[Pre-Hook/Chorus]
Ohh Tanzania, Ooh
Najaribu kunyamaza
Makame hataki yooh
Ananambia walau nena kidogo
Nyumbani nafungua gate
Niende kwa Mangi nunua super gate eh
Napewa za chini ya kapeti
Kuna redio imevamiwa kefti eh
Napita kwenye “Magazeti”
Nakuta rundo la wetu “Wameketi” eh
Badala ya kutafuta cent
Wanabishana tu mambo ya vyeti

[Hook/Chorus]
Wacha nikae kimya
Ooh nisiongee “Kimya”
Ninyamaze Kabisa “Nikae kimya”
Eh ulimi koma “Kimya”
Usije kunipoonza!”Acha nikae kimya”
Nifunge bakulu lanhu! “Kimya”
Nikojoe nikalale “Nikae kimya”
Mi bado mdogo sana “Kimya”
Mama kanambia

[Outro]
Oh najiuliza “Waaaapi”
Najiulii “Waapi”
Tunakwenda wapi “Waapi”
Kila siku maneno “Waaaa”
Ah tuacheni jamani “Waaapi”
Mi na we ni taifa moja “Waaapi”
Kambarage baba mmoja “Waaaa”
Sa tofauti za nini tushikamane tukaijenge Tanzania

Correct these Lyrics