Diamond D - Kizaizai lyrics

Published

0 234 0

Diamond D - Kizaizai lyrics

{Verse 1} Yanaanza kama safari twende folani ukaone Kumbe yana nguvu ni hatari ukishanasa ndio uponie..x2 Mungu aliumba dunia na Maajabu yaake Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2 {Chorous} x2 Nyie Mapenzi yanauma (Kizaizai) Yanaumiza (Kizaizai) Oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya Weza gombana na Ndugu (Kizaizai) Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai) Kazi ukaona chungu (Kizaizai) Nyie Mapenzi karaha (Kizaizai) {Verse 2} Yananyima furaha.... Yanakosesha raha....x2 Mmmmm Tena usiombe kupenda uliempenda ajuee Tena usiombe kupenda uliempenda ajue Amani utakosa Karaha jamani eeeh.. Dunia tena chungu kufa utatamani eeh.. Mungu aliumba dunia na Maajabu yake Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2 {Chorous} Nyie Mapenzi yanauma (Kizaizai) Yanaumiza (Kizaizai) Oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya Weza gombana na Ndugu (Kizaizai) Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai) Kazi ukaona chungu (Kizaizai) Nyie Mapenzi karaha (Kizaiza Baba na mama watake Chakula tamu ni sumu Mashoga sasa wanafiki Kulala nanyi ni ngumu Eeh yanauma tena yanauma {Bridge} So Mkumbatie akicheza ucheze nae Akiringa aeende...x2 Mkumbatie akikata ukate nae Akiringa aeende...x2