Diamond Bongo - Kesho lyrics

Published

0 346 0

Diamond Bongo - Kesho lyrics

(chorus) me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani me nataka kesho twende ukamuone mama me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani me nataka kesho twende ukamuone mama (verse1) Kwanza kabisa nitanyonga tai t'shirt na jeans nitatupa kidogoo Niite na**ib usiniite dai asije kukuona muhuni akapandisha mbogo Na ukifika uagize chai savannah tequila uzipe kisogo Kuhusu mavazi kimini haifai tupia pendeze ladha yake inoge Even thou wanaponda eti we ni kicheche waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke Even thou wanaponda we ni kicheche waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke (chorus) me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani me nataka kesho twende ukamuone mama me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani me nataka kesho twende ukamuone mama (verse2) na usilete swagger za nai nai ukanyoa kiduku kama moze liogo eti shopping twende thai wakati dada angu ana duka kigogo ukikuta nguna usikatae we zuga unapenda hatakama wa muhogo kuhusu kabila wala silagai Mama angu hana noma hatakama mgogo Even thou wanaponda eti we ni kicheche waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke Even thou wanaponda we ni kicheche waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke (chorus) me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani me nataka kesho twende ukamuone mama me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani me nataka kesho twende ukamuone mama (bridge) mama yangu mama mama na**ib mama mama diamond mama mama yangu nyumbani mama chali mama mama sepetu mama mama kidoti mama na mama diamond nyumbani (piano plays...) (chorus) me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani me nataka kesho twende ukamuone mama me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani me nataka kesho twende ukamuone mama (piano plays......)