Curious - Kwani(Prod by Curious) lyrics

Published

0 175 0

Curious - Kwani(Prod by Curious) lyrics

[Verse 1] Bado tunadunda tu ( Ehh) Bado tunaruka (bado tunaruka) Bado inatoka lifetime tu Bado zangu haziwezi shuka ( Nah) Bado tuko kwa beat ya curious na bado hizo shash zinanuka Bado niko na yule darksin girl namptupia malugha (Itakuwaje?) [Hook] Bado mi hudunda kila siku kwani? ( Aki walai) Bado mi hustash hizi vitu kwani? (sheesh!) Bado mi husag hizi toja kwani? (kwani nini?) Na bado mi humada hao marapper kwani? (bang' bang') Kwani kwani kwani Kwani kwani kwani Kwani kwani kwani Kwani kwani kwani [Verse 2] Mara tuko house party Mara tuko club Mara tuko kwenye gari Mara tunawasha kwenye cab Mara tunachoma kitu imefanya tukafukuzwa na mabouncer Mara tuko na polisi anauliza swali maze hazina answer But I'm still here And you still there And I still got the vibe this moment is so rare And I still got the ride baby why don't we go there (vroom!) Bado mi hudunda kila siku kwani? (kwani nini?) Bado mi hustash hizi vitu kwani? (kwani?) Bado mi husag hizi toja kwani? (Boss) Bado mi hurep two-three kwani? (Kwani nini?) [Bridge] Yeah Kwani nini maze? Kwani nini boss? Bado si humada hii stuff yaani (Hatutambui sh** buda) Cheki Break it down [Hook] Kwani kwani kwani (Kwani nini?) Kwani kwani kwani (kwani?) Kwani kwani kwani (kwani?) Kwani kwani kwani ( Iko nini?) Kwani kwani kwani (haah!) Kwani kwani kwani (kwani?) Kwani kwani kwani (Yeah) Na round hii sio mchezo buda Kwani kwani kwani Kwani nini?