Chege Chigunda - Kelele Za Chura lyrics

Featuring ,

Published

0 685 0

Chege Chigunda - Kelele Za Chura lyrics

[intro] Maasai Fella Haiya iya Waasafi si mko nyuma ya sumu Napanda mgongo usiku me nakula Usipende kuzima taa wakati wa kula Hakuna mgnga ajikaza ja koma Ukipika wali nazi, me nakula Kuhusu jikoni, hilo usijali kwani ushibapo mume me nafurahi nachotaka mapenzi, Kwa mwengine siwezi Kwa mapenzi usijali, kitandani ni hatari Umefungwa kama mwari kijokozi na habari Haiya iya Mchana jua kali tujifungie chumbani kama kuna joto kali, kuna jamvi barazani [chorus] Huna kasoro hara kidogo mtoto naita Huna kasoro hata kidogo kaka nakuita waache waongee, haya mama usiogope wanamisi na wasiwasi nawe haya mama usiogope mmm, waache waongee, haya baba usiogope kelele za chura kisimani haya baba usiogope Moyo, Moyo moyo wangu moyo moyo Unawasiwasi wangu moyo moyo Mbona wachache wanapenda wengi wanaomba, mimi nawe tuwachane wao ndio wanapenda tufanikishe washangae, mimi nawe wazinduke nishakuwa nawe, mimi nawe watanuna kuwa nawe, mimi nawe usijali niko nawe, Napanda mgongo usiku me nakula Usipende kuzima taa wakati wa kula Hakuna mgnga ajikaza ja koma Ukipika wali nazi, me nakula [chorus] Twende chikuna na jobanjo, na jobanjo sasa midunda na jobanjo, na jobanjo Twende chikuna na jobanjo, na jobanjo sasa midunda na jobanjo, na jobanjo haiya iya x2