Cash Donta - Na Mtanyooka Tu 100 Bars lyrics

Published

0 599 0

Cash Donta - Na Mtanyooka Tu 100 Bars lyrics

New Era Niite Malenga, Mhenga Katamba Kale Podo Imejaa Dope nawawinda bila Mishale Mbuga Zinachanjwa Kama Chale Bars Zinamechishwa Kama Sare ‘XX' Chapa Ilale ‘XY' Nina Mingale Kama Sex Ni Sport? Abortion UShindi Wa Mezani Mistari Naiunganisha Na Dot, Kama Na-Plot Ramani Nifate Uni-Quote Au Ni-Hate Uni-Shoot Na-Meditate Na Robo Kaputi Mnazoitaga Kush Haleluya No Puya Ah! Udi Ka Zainush Maujanja Supplier Paper Chaser na-Purchase Na-Push Nina Mwani wa kuzisaka Ka Hustler alietoka Bush ‘True Lies' Copy Cat Buni Usifosi Kughushi Wananiita Middle Man, 7 Fidodido Clan Leader wa Speedo Gun Mistari Bullet on Your Mind Una-Search Ume-Find? Wow! Am Single And Focused Heart Breakers And Haters I Just send Them Postcards Mimi Sio Source, Chanzo Ni God Upeo Ni Genes In My Blood Rest In Peace Dad Hisia kwenye Writing Pad Am Genious Why Are You Mad!! Are You Mad?????? You Can't Touch me Kama Boss Nishakunja Ukosi Ni Jua La Utosi You Can't Flash Me Ni Bidii Yako Kuni-Copy Ila hatuwezi kuwa Mapacha Nimetoka na spare tyre na Sirudi hata Pancha!!! Zama Kama Fairy Tale, Legendary kawa Galacha Hip-Hop Addiction kama Sex Ukianza Ngumu Kuacha!! So Mi na-stick To The Code Kichwani Nina Nyingi Kama Ipod Ubongo Hauna Ceiling Board Nawatungua Bongo Mpaka Abroad Na-Lock Un-Lock, Na-Load Reload Mliopo ON Nawa-shut Down!, Sembuse Stand By Mode? Word!! Nukuu, Shika Ushauri Huu, Record Mwambie Na mwenzio, Whatsapp Nae, Up-Load Sambaza Ka' Blogger Mi Nakaza No Soga Tega Sikio Toga Ila Pua Ukiibana Shoga! Bit*h nam-treat Like Bit*h, Wife Nam-treat Kama Wife Kicheche “Hit and Run Life” Kuumizana Moyo its Not Enough Nampenda anipendae Asienipenda Tupa Kule Unaefosi Huu Ushauri wa Bure Kazurure Mjini shule What Goes Around Comes Around Tutagumiana Mulemule Ukipata Mtungi Poa Ila Ka Jamvi La Wageni Nakuja Tule Mkwanja Ndio Habari Ya Town Hujazinasa we Underground Penzi Politics Ukidunda No Love Lost No Love Found Tozi haamini Macho Yake, Hana Chake Kapigwa Sound Peace Kwa Mademu ila sina shobo Nanyi Nasaka Pound Ma-Learner Shobo Contena Ulimi Nimegeuza Mtaji Kwangu Kila Retina Napendwa Kisa Kipaji Hata Ukijifanya Mjuaji, You Can't Tell Me Na'e Sio Kindezi Ukinizingua Naruka Nawe Mikono kitengo Mawe Mashuti ka Paranawe Ubabe benchi Nasambaza Upendo Ka Kalikawe Njoo ghetto sina Malaya nina kaya na 3 quire Na-Roll Kisha Fire Mboni zote Kwenye Aya Nasamehe 7,70 Napolipa jema kwa baya Coz Donta nipo peace zaidi Ya Mwana Wa Galilaya Mapenzi Yashaniumiza Nikaumia Ila Siyaachi Demu Akinizingua Nampa Kibuti Kama Clutch Na Nikifumania Mgoni simpigi Punch Namshtua Mwanangu Mende Aje abonyeze Touch Ni-Search Ka Bongo Star Utanikuta Cool Kitaa Na-sweat Ndani Ya Dojo Au Chodo Napiga Spaa (sparring) Resi Juu Ya DCM, Karume Natungua kadhaa Shirt by Versace we Midosho gani Unavaa? Sintodata Kisa Gucci, Kikuku Au Sudusi Uchi Nishaona Robo Nini Nusu? Nishawika Kama Kuchi Trap Boy, Crunk Boy Nilietusua Bila Lucci Usienijua Nishakuwa Cash Doro Kabla Ya Doro Bucci!! Sijawahi kuwaza Kushindwa Ushindi daima Kama Bruce (LEE) Always Na-Try Ni-win, Try And Fail Kwangu Tusi Great Thinker Ninae-Think twice Nipo Deep Kama Kamusi Iwe Pembeni, juu Au chini kote Natamba Kama Mjusi Je Upeo Ni Jicho Moja, Mawili, Au Mia Kama Tausi? Na Ungangari Ni Roho Moko, Saba, Au Tisa Kama Pusi? Na Je Uso Wa Mbuzi Ni Milima Ya Ndita Au Vifusi Vya Chunusi? Na Mahaba Niue Ni Kuua Michepuko Baada Ya Harusi? Asante Mungu Kwa Kinga, We Mwanga Hunipi nuksi Asante Bichwa Maarifa Yamefichwa hizi fikra Huzigusi Asante Mama Umenilea Now Am Grown Do You see? Am Rap Genious Akili Ni Nywele Nazipanga Kama Msusi Mama Acha Wa-comment, ni wa Juu Pekee Ndie atakaenihukumu Waroge Juju Likidunda wakoroge Hata sumu Huh!! Wanadai Sintodumu Hawajui Nimezaliwa Kwa sababu Na Ndo maana Nipo Humu Niite Heaven Sent Niliekacha Madhabahu Ila Cypher Ndo Somo Na Sijaasi Kwa Jesus so Shetani Tuliza Mshono Mungu Kaniunga Bando Unlimited Nitapike Bila Kikomo Ila Ka Fikra zako Zina Expiry Date Zi-update Vinginevyo Hautoelewa Yaliyomo OUTRO Yeah Ichio Nade?( in luo meaning umeamkaje?) Si Unazijua Harakati Za Mtu Mweusi? Yeah Na Mtu Mweusi mwenyewe ndo mimi hapa Rapboy Cash Donta Yeah Na Mtanyooka Tu!! Dats wa**ap Shout out 2 all My Ninjaz Www.facebook.com/cashdontatz Www.reverbnation.com/cashdontatz