BossBelle - Mapenzini lyrics

Published

0 273 0

BossBelle - Mapenzini lyrics

VERSE1: Mikutano ya siri, kwenye kiza kinene, Hukutaka subiri, nikamate mapenny, Ungeweza kukiri, mi ningejikita kwingine, Umeficha... Ona muziki munene. Ahaa BRIDGE: Au hii ndo gharama, ya kukupenda wewe, Mzigo wa lawama, najibebesha mwenyewe, Nakutakia salama, tutakutana mbeleni, Namuonea huruma, mwenzangu na mimi. CHORUS: Kutwa umenuna, Ukiitwa unachuna, Amani hakuna, Mapenzi Oh, Mapenzi Oh Oh... VERSE2: Hivi ulikosa nini, kutaka kwangu upewe, Kama maisha uliwini, ilibaki uolewe, Mabuzi wote nchini, masharobaro mjini, Bado ukang'ang'ana nami, lakini kwanini... Ahaa BRIDGE: Au hii ndo gharama, ya kukupenda wewe, Mzigo wa lawama, najibebesha mwenyewe, Nakutakia salama, tutakutana mbeleni, Namuonea huruma, mwenzangu na mimi.. Oh Oh... CHORUS: Kutwa umenuna, Ukiitwa unachuna, Amani hakuna, Mapenzi Oh, Mapenzi Oh Oh...