Bomba Kichizi - Waiter lyrics

Published

0 201 0

Bomba Kichizi - Waiter lyrics

Leta moja leta leta mbii, zungusha kwetu, Na magashi wa Kiswahili kuwanyatia ndo zetu, nini unataka? ninavyoflow, nina do, nipo more? binti njoo usione soo shake body! Bridge leo leo tumewaka, leo leo tumewaka, leo leo tumewaka, leo leo tumewaka Chorus Katikaa, katikaaa kiuno unachooo, ndugu Waiter zungusha bia pesa tunazo, Katika katika kiuno unchoo,,, ndugu Waiter zungusha bia pesa tunazo. oyeee!!! Wololo wololooo Verse 2 Upo wapi waiter waiter round table mbona imekata? Money talks bomba nakuita, Nipo hapa na Baby Girl, Mpe kiduchu ameki try, Mi nataka tek dry, Masela pale nyagi dry, Order zote pay done, Masela wangu waruke ruke, Bomba kichizi niwarushe rushe, Hapa leo tunakesha, Haya mwite Mama Aisha, Bridge leo leo, tumewaka, leo leo tumewaka, leo leo tumewaka, leo leo tumewaka Chorus Katika,,, katika kiuno unachooo, ndugu waiter zungusha bia pesa tunazox 2 Repeat Bridge, Oyee! wololo wololo pesa tunazo Wololo Wololo pesa tunazo, Ndugu Waiter Zungusha bia pesa tunazo Hook, oooh! oooooooo! Waiter ahaaaaa! hebu letaaaa!!! Waiter ahhhhhhhh! Hebu leta ahhhhhh!! Usiulize atalipa naniii? Usiulize atalipa nani? Repeat Chorus Repeat Bridge.........