Beautiful World - Love Song lyrics

Published

0 211 0

Beautiful World - Love Song lyrics

Usiku wa leo uwe wangu Laza kichwa kwenye mto wangu Cheza usiku wa mbalamwezi Pomzika Mambo yote sawa Mambo yote sawa Nipende usiku wa leo Nikumbatie usiniache oooh Ficha vidole nyweleni mwangu Hakuna matata Mambo yote shwari Mambo yote shwari Ya kesho usijali Hakuna ajuaye yajayo Tuishi kwa siku hii Hisia za milele Hakuna Matata Mambo yote shwari Mambo yote shwari Stay with me tonight Lay your head upon my pillow Dance under the moonlight All cares drift away everything's alright Love me tonight Hold me close, don't let me go Run your fingers through my hair All worries drift away Everything will always be alright Don't think about tomorrow Who knows what I can bring Let's live for the moment Touching eternity All worries drift away Every thing is always alright