Babz On the track - Njeri Doobiez (Abbas Kubaff Diss) lyrics

Published

0 474 0

Babz On the track - Njeri Doobiez (Abbas Kubaff Diss) lyrics

[Intro] Yoh, tuanze: Take One Lazima ushuke Saa hii usipo-rap venye uko na pesa hakuna mahali unaenda Uki-rap ati mi nimesota Aii, nani anataka kuskia watu wamesota? Babz on the track Doobie Doobie Doobie Doobie Stupid Eti Abbas Mista Abbas aka Jerry Doobiez Leo nakunyang'anya u-star So utakuwa Miss Abbas aka Njeri Doobiez So let's do this Eeh hii si biz man Mi niko serious Na-make dough Ukinichungulia na mlango (Babz on the track) Octo nakuwaga m-hot Reason kila mahali utapata nimesurroundiwa na mafans Lyrically poisonous Nikitema unaeza dhani siku hizi kwa ulimi niko na ma-fangs 3 years kwa game na tayari Nishapatiwa ma-ranks MC amesota Na anajaribu kujiona kwa bank Mazee, Abbas wee ni m-whack Na una-sack ka gunia Kwa hip hop najivunia Wee unavumilia Reason utanipata kushoto nikicheka n***a nakuwachia kulia Huwezi fungua macho uone Kimya anakutumia Kwa hii game ushafika menopause, hauwezi flow Umekula chumvi nyingi kwa game Mpaka ukiangalia nyuma mazee huskii unageuka Bibi ya Lot Kwa game mi ni mchanga sana kwa brain niko na alot High ka pilot mwenye ako juu ya tot Cheki man, niko mbele Unapigania nyuma ka msenge Juu si-si-si-si si kupenda kwangu Abbas skiza genge Mabomboclat n***a nime-grow up nikiskiza reggae Cheki, una-hate Chiwawa Juu unaogopa kuumwa Huwezi nitaja kwa diss track juu unajua utatumwa Una-hate Jua Cali juu anakunyima vitamin D Fanya bidii Fungua macho hauna ma-show jaribu kuuza ma-CD Acha kujiona G juu una-roll na wasee wa Digi Acha kujiona DJ una-roll na wasee wadiju To be or not to be, I got to be Doobiez or not Doobiez; I'm YGB Octo P.I double Z O-O Na ka hujui kwa hii game mi ndio CEO-O Daily nazidi ku-blow Man Westie Westie Kumanina hiyo K-South flava Cheki, kwa hii game mi ni Sean Paul wee ni Sasha In short wee ni b**h backbiter ka snitch Mtaa bado ni Kibich namba nane Bonga sh** nikushike low ka mbachu za Easich Naku-throw kwa ditch Tayari niko underground Mi sina time ya kujaribu kupata mab**h Mi siko media hungry Kenye nadai ni dough Kenye nimekuja kukuambia hapa hivi Sipendangi ku-jam lakini ulinijamisha Na mimi ni ule boy hushika nare daily ka worker wa KPLC Ngoma zako nilianzanga kuziskia KBC Man wee ni mzee sana Saa zingine mi hushindwa hata nikuambie nini Unajiona uko na chapaa Na bado reason unashika mic unajiita rich boy Lakini lyrically kwa hii game hauwezi nifikia n***a hauwezi ni-reach boy Unajiona ati mi ni boy wa juzi Kwa hii game si story na juzi Ni story na ujuzi Si kupokea mic na kuanza kutema upuzi Man, ati ukishika mic ati unasema venye uko na Nine inches kwa boxer Na kwangu hiyo ni ka dil*o Tangu uwachwe na mresh Najua saa hii kuna increase in your libido Uh-oh, iza jo, nime-get personal Octo, unajionanga chali Lakini unabebanga shati juu kenye mi huona tu ni ma-pot belly Octo mazee, mi na wee hatuwezi toshana Hatutawahi meet, tuko parallel ka chuma za reli Lakini kwa game bado mi ni heavyweight ka chuma za meli Nakuwacha in a dilemma ka ya R Kelly na Nelly Unajiona hardcore Lakini kwangu bado ukitema hauskii wee hu-sound ka R Kelly Man, una-talk about kukuwa na ma-calorie Na mi kila time nikiangalia face yako Unakaanga ka ule mtoi anaugua beri beri Umesota huwezi buy fan wako hata PK Labda Mr. Berry Mr. Jerry Kwa hii game niko so sorry lakini ntakwambia kwaheri Iko nini Na hii ngoma haina hook Juu tayari nilisha-hook up na Baby G Namba nane homie Tuna-take over Hauwezi reply Babz on the track Si unajua hapa hivi ndio Capital city ya H.I.P H.O.P Underdawg Production Yaani wee umeniamsha tu leo nimekuona kwa telly ati uko kwa Vibe City ukiyap yap Ata nilikuwa nimelala saa hii imebidi niingie kwa booth nianze ku-rap Reason na-sound ni ka niko lazy Lakini man, hauniwezi Kwa hii game hauwezi man Wee ni mzee man Wee ni mzee, wee ni mzee inafaa yani Nakutuma home hata bila pension Next time jina yangu ukiwa kwa interview usijaribu ku-mention [Sample] Mi nalike chapaa, we unalike chapaa X2 Abbas umesota Man hivo ndio una-sound ukijaribu kuji-compare na mimi I'm above your average Doobie Doobie Doobie Doobie Stupid