Published
0 310 0
(INTRO) YOU SURE Ivo ndo sio venye siufanya Ivo ndo sio venye siufanya [verse 1] 1992 13th August Born with d**h on my valley view ...nasikustammer Men my was about to prove vile siusuffer Infact ivo truth ivo ndo sio venye siufanya Paka akiondoko. Mindo na murder panya Nko heaven na Jesus nashkisha jaba More stones hapa sheesha naachia Dada She deserve a ring ka Tarzan Nabaraki na pia tasa ! Mac laurin unastate limit nakuchapa ! Kume kucha son napeleka bongo Kinshasa! "Gutire ureda guthie hathara" Kisisasa Utapata baby mama aki kiss ur son ndo am Poison a kip ur love Mtoi an*lia mom alidai tumia jualaa Nun anadai praise tuala!! ! Mom Ali die akitrace tu my dad Pain haikunihurt nlihurt jutuya love... [Chorus] Ivo ndo sio venye siufanya Ivo ndo sio venye siufanya *2 .(VERSE 2 ) Kailifunga ineza funguka Jeneza inajua strength ya mifupa Hii ni ile takataka skutupa colour yellow kwa blue band Blood ingekuwa blue si sky ingekuwa too earth Hatuezi fall in love ata ukam na 2 heart TOO bad kuna zenye nlihave kutupa Ka life ni just ndoto ziliwilli mutunga Mental slave iliwa aaa ni poverty Nakutear gas alaf nakukumba Mimi Ati soul ilikataa na blood ni wiling Kusiwai mwagika dam Ndo wasake fame kwa T.v !" Wakikuuliza waambie ni hivi hujaskia vile walichezeaa vitimbi Unadhania Tanzania ni jiji Si hi dream ni Bigi !" Alaf hawataki kuskia tukiiiva sisi " Si Hi Dre " ni Bigii ! Kablaa Niende there " !!!!!!!! Tutaipac na bigi if didn't know now you know Nyashinski [ Chorus ] Ivo ndo sio venye siufanya Ivo ndo sio venye siufanya *2 .(VERSE 3 ) Cleft lip palate Nadai what bread winner gets uko fishing na mosquito Net As long as shortcut ni mos few comments sindo 2 Let fresh farment So Bila CD F McAS Umbilical cord kwa parliament Nta kujudge unihate Toa cover nadeal na inner page Twerk twerk ju Zlienda kwa booty N Y S Uliza ujibu Nlidhani life ya mwalim in ramdhan Karim "! But sai nalearn to Excuse Your principles " Life ni school admin ako disco " Kani Age si God angepata wrinkles How long will this Goes Kila time waki meat kuslaughter tuna pick bones Pesa unameza how cum unadip throat ??? Came up na POTHOLES Brought up na hii cross It was said but not told My horses will Not hold The unknown ni above all YOUR SILVER spoon on charchoal dust Kila head na price boy Wanna govern na kifua so na galvanize Naomba nikifa nife nicely.. [outro] Ivo ndo sio venye siufanya Ivo ndo sio venye siufanya *4