Peke yake na kusikia kwa mwezi Yatima alilia ndani kivuli Peke yake na kusikia kwa mwezi Maisha anasali kuopolewa Amezungukazunguka mbali sana Sasa hajui barabara ya kwake Dunia inajua hadithi yake Lakini nani ajua jina lake? Peke yake na kusikia kwa mwezi Yatima alilia ndani kivuli Peke yake na kusikia kwa mwezi Maisha anasali kuopolewa Amezungukazunguka mbali sana Sasa hajui barabara ya kwake Dunia inajua hadithi yake Lakini nani ajua jina lake?
Mwezi, ukipo Urudi ili atafarijiwa Mwezi, ukipo Urudi ili aweza kulala Mwezi, ukipo Urudi ili atafarijiwa Mwezi, ukipo Naomba kwa Maisha Mwezi, ukipo Urudi ili atafarijiwa Mwezi, ukipo Urudi ili awezi kulala Mwezi, ukipo Urudi ili atafarijiwa Mwezi, ukipo Naomba kwa Maisha Mwezi, ukipo Urudi ili atafarijiwa Mwezi, ukipo Urudi ili aweza kulala Mwezi, ukipo Urudi ili atafarijiwa Mwezi, ukipo Naomba kwa maisha