(Hook) Masebo
Kila nikiwa mbali na weweee
Waonesha kunipenda babyyy
Ila nikiwa karibu nawee..
Wanionyesha kunichukia kwanini
Im confused x 10
(Verse 1)
I know we, cant be the same as we used to,
But jua kwenye mapenzi we umeniweka mahabusu,
Hua namind my own bizzz but, we unanihusu,
Im ready kwa chochote kama utaniruhusu,
I wish I cut off the crap but my heart cant free me,
I gotta know, we una kisa gani na mimi,
Kila nnapokusemesha baby unainama chini,
Youre reason mi nakesha na wala hunipi umakini, why?
Najihisi kama nachanganywa na mizuka,
Tangu uondoke hata jani likinigusa tu nashtuka,
Najiuliza ulichokosa ukajitusu ukanitosa,
Ukaniumiza sio kiduchu tena zaidi ya uzito wa kosa,
Moyoni nakosa amani, mawazo juu yako mummy,
Sina imani naanza kupadiss hata maskani,
Phone hupatikani, nyumbani huonekani,
Sometimes najiuliza hapa duniani nna mkosi gani?
(Chorus)
Im confused x 10
(Verse 2)
Nduguzo wanasema mi bonge la threat,
Wananiona kumbi nyingi za starehe nakucheat,
Kama kumbi za starehe nakubali, I admit it
Most hua nakua mwenyewe no girls that Ill be with,
Huamini nnachosema ila unaamini wanachosema,
Bila mimi, uliniahidi utajiua mapema,
Wanasema mi ni nyoka kadri sumu nnavyotema,
Na ntafurahi utapoondoka uwe kinyume ya chanda chema,
Baby, nna damu najua nini maumivu
The way tunavyokwenda utaja niua kwa wivu,
Mi ntatenda utachopenda ntarudisha usikivu,
Daima mi ntakupenda basi kua mvumilivu,
Siwezi kusema siwezi kuishi bila wewe,
Basi sema, what should I do labda ndo unielewe?
Chanda chema, umeninyima pete ungeniambia mapema,
Maana Nahisi nna sababu ya kusema kua sitokuja penda tena
(Hook) - Masebo
Naona kama nachanganyikiwa,
Naona kama sipati raha...
(You confuse me...I'm confused right now) x 2
(Please baby don't do like that to me yeah) x 2
(Chorus)
I'm confused x 10