Intro
Mhh mhh mhh
Yeah sugarboy once again
I got lemonade on this one beat mehn
Panner on the beat
We are for girlfriend
Chorus(lemonade)
All i need niwe nawe mammy uwe my girlfriend
Fanya haraka haraka tuondoke mammy
Uwe my girlfriend X2
Verse(Popper)
Unconditional love my soulmate umeniimpress
Kila kona noma you fill my heart spaces
When you kiss me i'll be blessed kam kirikuu
Tutatoka wote from the bottom mpaka kule juu juu
You gave me your heart,your lovе and promises(you made it)
You ask me if i got you as long as you got mе(i got it)
I keep this love until i'm breathless(i'nailed it)
You told me you love me today,tomorrow(i admit it)
When you call me like that i will call you right back GIRLFRIEND
Should i do what moyo wangu ndo usha stuck
What'chu like kwangu we ndo favorite
I hold you back and everything will be nice
Naota kila siku kuwa nawe
Natoka ntarudi baadae
Kwenye verse ya pili mpaka ushangae
All i need girl is you to be my girlfriend...
Chorus(lemonade)
All i need niwe nawe mammy uwe my girlfriend
Fanya haraka haraka tuondoke mammy
Uwe my girlfriend X2
Verse(Popper)
Kama me ndo wako boyfriend basi usimwage ladhi
Nipe vya ndani na nje WEUSI sitaki kazi
Kama ni utani na uzuge sio ile kazi kazi
Asubuhi kwa usiku wapemba huwa hatumwagi nazi
Sa ndo ushaitest hii ladha na unajimwaga kwakweli
Check una enjoy kama mshamba kuwa feli
Jinsi hauniboi nikikukosa nita fail
Kidonge bila maji sio amina sanaipei
Mama move maumivu kutoka kwangu
Kila siku happy day kama dunia yangu
Changu kiwe chako,chako kiwe changu
Nifungulie dunia we ndo clouds ya moyo wangu
Taratibu taratibu nitakutibu tabibu
You ask me to choose what i want only we ndo jibu
Basi unanikosha kwa sifa unaniosha
Wajumbe wanafikili ipo siku utanitosa
All i need
Chorus(lemonade)
All i need niwe nawe mammy uwe my girlfriend
Fanya haraka haraka tuondoke mammy
Uwe my girlfriend X2
Outro
Fanya haraka haraka tuondoke mammy
Uwe my girlfriend eeh