1. Mungu ibariki Africa Wabariki Viongozi wake Hekima Umoja na Amani Hizi ni ngao zetu Afrika na watu wake. Chorus: Ibariki Afrika Ibariki Afrika Tubariki watoto wa Afrika. 2. Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja Wake kwa Waume na Watoto Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Chorus: Ibariki Tanzania Ibariki Tanzania Tubariki watoto wa Tanzania. Sent by Carlos Andr Pereira da Silva Branco