Intro; I n I.. Fire wooooh me seh I n I Love... Anhaa!! Dats Rifle number one King of Kin Ondon Yard Chorus; Na lako smiiiiiiiiiiile Linanifanya nijihisi labda sina lens nzuri inna me Eyeeeeeeeez maana gafla naona sura yako imekua taswira ya paradiiiiiiiiiize Me gve thankz n Praise to de most high for him av Bless yoh wittah shining smiiile Uuuuh Bbe... Uuuuh Lady eeh!! Verse 1; Now check dic I n I Jah.. Siku ya kwanza nmekutia machoni moyoni nkasema hii sio Tamaa Ahh! Wanang'azang'aza ila hauoni sabab we mwenyewe hauna Tamaa Aaah ahh.. Kwa muumba me gve dem thankz n praise maana amekuraise like a shinin star Aaah ah! we eh wa pekee She seh she want ah man na nataman 2 be de one Bridge; So hisia zangu naona zimegota kwa huyu shauty.. Humu ndani ya Goligota mwingine sioni Tabu kwa roho nisipokuona Gaal uuh mamamai Nashindwa hata kusema lemme summarize Zhhibidibambam.. zhibidibambam.. nafsi haina upinzani, me na yee n idamdam Zhhibidibambam.. zhibidibambam.. nafsi haina upinzani na lake smile Chorus; Na lako smiiiiiiiiiiile Linanifanya nijihisi labda sina lens nzuri inna me Eyeeeeeeeez maana gafla naona sura yako imekua taswira ya paradiiiiiiiiiize Me gve thankz n Praise to de most high for him av Bless yoh wittah shining smiiile
Uuuuh Bbe... Uuuuh Lady eeh!! Rifle.. Verse 2; Shauty yoh back it up,, rapapaam gimme dem tingz ah deserve Oooh mamamamai.. unanifanya mi nadata na lako tabasam niko hoi taaban naona haiwezekan kuwa mbali nawe shauty.. Nimemwambia navuta kasema nae anafanya Si tunavuta baraka tunakanyaga laana Acha uzushi baahna,, si kwetu hapaana makaraa na ndomana nampenda sanaaa Bridge; So hisia zangu naona zimegota kwa huyu shauty.. Humu ndani ya Goligota mwingine sioni Tabu kwa roho nisipokuona Gaal uuh mamamai Nashindwa hata kusema lemme summarize Zhhibidibambam.. zhibidibambam.. nafsi haina upinzani, me na yee ni damdam Zhhibidibambam.. zhibidibambam.. nafsi haina upinzani na lake smile Chorus; Na lako smiiiiiiiiiiile Linanifanya nijihisi labda sina lens nzuri inna me Eyeeeeeeeez maana gafla naona sura yako imekua taswira ya paradiiiiiiiiiize Me gve thankz n Praise to de most high for him av Bless yoh wittah shining smiiile Uuuuh Bbe... Uuuuh Lady eeh!! yoh trully blessed yoh trully blessed me one n only bbee eeh eh Anha! Auto; Az it takes a Revolution to have a Solution Blessed Earthstrong eh wah yoh Kin Ondon Yard Remember eeh Jah.. Who Jah bless no man curse uwooh uooh!..