hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba yule si wako
nami si wangu
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba kwako hayuko
kwangu hayuko
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba wewe una wako nyumbani
nami nina wangu nyumbani
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe nasema sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana