nitafanya nini sasa ulimwengu wa leo nitafanya nini sasa ulimwengu wa leo naona rafiki zangu wananiandama vibaya naona rafiki zangu wananiandama vibaya nia yao ni kutaka kuniharibia maisha yangu eeh nia yao ni kutaka kuniharibia maisha yangu eeh nikicheka nao ninaona ni rafiki kumbe ni nyoka nikicheka nao ninaona ni rafiki kumbe ni nyoka adui mkubwa duniani adui mkubwa duniani adui mkubwa duniani adui mkubwa duniani mbaya wako rafiki yako eeh mnayekula naye pamoja mbaya wako rafiki yako eeh mnayekula naye pamoja sasa leo niko kati ya nyika eeh
marafiki siwaoni hata mmoja eeh sasa leo niko kati ya nyika eeh marafiki siwaoni hata mmoja eeh nashangaa leo leo mama eeh marafiki zangu sasa ndio adui nashangaa leo leo mama eeh marafiki zangu sasa ndio adui mbaya wako rafiki yako eeh mnayekula naye pamoja mbaya wako rafiki yako eeh mnayekula naye pamoja sasa leo niko kati ya nyika eeh marafiki siwaoni hata mmoja eeh sasa leo niko kati ya nyika eeh marafiki siwaoni hata mmoja eeh nashangaa leo leo mama eeh marafiki zangu sasa ndio adui nashangaa leo leo mama eeh