Nitakwenda, Nitakwenda mbinguni Kwa Baba, Mwana na Roho; Nitaimba milele. Nitamwona, Nitamwona Eliya Kwa Baba, Mwana na Roho; Tutaimba milele. Nitamwona, Nitamwona Ibrahimu Kwa Baba, Mwana na Roho; Tutaimba milele Nitamwona, Nitamwona hata Musa, Kwa Baba, Mwana na Roho;
Tutaimba milele. Nitamwona, Nitamwona na Henoko Kwa Baba, Mwana na Roho; Tutaimba milele. Tutamwona, Tutamwona Yemorini, Kwa Baba, Mwana na Roho; Tutaimba milele. Tutamwona, Tutamwona Mwasisi wetu, Kwa Baba, Mwana na Roho; Tutaimba milele.