Kwa Msaada Wako (With Your Help) 1. Kwa msaada wako Bwana Yesu, (With your help Lord Jesus,) Dunia itashindwa kunishinda. (The world will fail to overcome me). [Chorus] Haleluya, haleluya, (Hallelujah, Hallelujah) Haleluya kwa Bwana. (Hallelujah to Lord). 2. Kwa Roho wako Bwana Yesu, (With your Spirit Lord Jesus,)
Nitaweza kuyashinda majaribu. (I will be able to overcome tribulations). 3. Maovu mengi duniani, (So much evil in the world,) Lakini Bwana ameshinda. (But Jesus have overcome.) 4. Bwana Yesu ndiye ngome yangu; (Lord Jesus is my garrison;) Kwa kuwa ameshinda ulimwengu. (Because He has overcome the world.)