Pasaka Yesu Uliyetununua
Yesu, Yesu, Yesu wangu nakuhitaji
Mwokozi, Mwokozi, Mwokozi wangu nakuhitaji
Shuka, shuka
shuka utakase Kanisa
Pasaka, Pasaka, Pasaka wetu uliyetolewa
Tufanye Karamu isiyochachuka -- ndiyo weupe wa moyo
Pasaka Yesu Uliyetununua kwa damu ya thamani
Yesu tuandae tayari kwa Karamu ile ya milele
Pasaka Yesu tupambe mavazi tayari kwa Karamu
Mavazi ya Karamu ni utakatifu, tujazwe mapenzi yako
Pasaka, Pasaka
Pasaka ubarikiwe
Tupambe, tupambike kwa matendo mema yako ee Pasaka
Tuwe baraka, tuwalete wengi kwako ee Pasaka