[Intro: King]
Na Vigeti ako nami si utaskia tu vilio
[Verse 1: Vigeti]
Msela! Kapiela hana hata hela
Ambia afande marufuku hatanipata jela
Mi na-kula jasho yangu sinaendaga peras
Tutapona vipi mchizi bila kusaka hela
Cinema ni ya horror, vinena ni manjora
Plus kidenga utaporwa
Kwanzia January mpaka December ni Dandora
Big-up big-up kwa watu wangu wote wa mtaani
K-Shaka damu sote tumetokea mbali
Kwa wote watu wamesotea ndani
Twenty one gun salute yaani zote angani
Kwa wote amani tutatokea wapi?
[Chorus: King]
Wee ni King kwenye game, si-utatega maskio
Nicheki mambo nina cheki shega ausio
So tulia utateremsha bega na uskie
Na Vigeti ako nami si utaskia-tu vilio
Jeshi yangu yote iko pande ya kushoto na kulia
So ukikuja na speedy yako moto uta-umia
Tumekuja biashara kwenye soko utatuskia
b**h n***as wakileta mambo poko uta-umia
[Verse 2: Vigeti]
Achie…..zimefura over Achieng Abura
Ukiona mbonge wee message achia Nyambura
Uzuri wa manzi roho usimkatie kwa sura
Name …….usoro wee niambie nitagura
Propaganda zime-ganda proper
Make it rain design ya Mbuvi aki-land na chopper
Huku mahater kwenye city wakidandia Hoppa
Swag balaa toka ndula chini mpaka toppa
Straight toka choo hio ndio sh** nakupea
Ambayo yamekorogwa plus na kick na snare
Oh my God, oh my Jesus, yeah!
Wanajaribu nguvu za giza mzeiya
Order na bado
Navuta powder na bado
Navuka border ……..
Na bado na………
Plus na sio kapuka
We sio Muthoni Drummer Queen lakini Ndonga bado ndio nitakupa
[Chorus: King] X2