[Intro: Kalimani]
Yeah, yeah...
Kalimani Tha Mc...
Nax..
Nax...
Yo, yo, yo, yo...
[Verse 1: Kalimani]
Nimefika pitstop, kuangusha three tots
Maradhi ni deep thought, kutibu nasing songs
Literature na diphthong, kuchapa ma-sick poem
Kupenda kustrip thong, addiction za deep throat
Imebidi nime-voice the verse
Madimoni akilini kuni-haunt na past
Yo.. at a crossroads, nashindwa ni-offload
Hizi dream za offroad, supper though ni boflo
Twende go-slow, man tu-strike
Ama tubaki tukizungushwa, left to right
Yes, you right, nilijam, cause yes you left
Kutembea na ma-duster ju ya mess you left
Kijana prodigal, vikombe za forty bob
Alikuwa holy Joe, sasa maisha horrible
Mukimwongea sana this and that
Hata energy hakuna for the dissing back
So... Imebidi ame-grind kila way
Chini kwenye goti ame-kneel aka-pray
Ndeng'a no more, hakuna ndengu ku-spray
The Lord on his side, hakuna tena ku-stray
[Hook: Kalimani]
Fall back (yeah, yeah) Get with the program
Format your mind, accomodate the raw tracks
Ni mizuka juu ya mziki, kuruka
Kubonga juu ya life na maswala ibuka
(X2)
[Verse 2: Kalimani]
Ka si pesa au biashara, nani tembea
Rabbit alisema, ikabidi nimetenda
Mwaka wa jubilee, mi nataka ku-receive
Mic bila cord, ndio amani tu-preach
Focus now, kwenye posters (blaoh!)
Show za town na ma-dolby surround
Kwa mifuko ma-brown, sura ndimu design
Kama kofi ya karao, don't joke around
Mafan hawaniskizi na bado mi niko busy
Leavin' emcees with black eyes ni ka wana-date na Chris Breezy
I represent the Rift, and I swear to never drift
This is a recon, like you were dealing with a grifter
Twice in your life, and you never learnt the first time
I give it divine, I leave you to find
Whatever it is that I'm talking about
I'm more than a cloud that's pa**ing
I'm walking about just spazzing
I'm more than a thousand, times better than what you've been having
Leta beef nifungue butchery
Mortuary, zishone ju ya adhari
Za rap zinazoleta hatari
Kabla sijalipua washahepa sanctuary
Sababu hizi sk**s huji-reveal
[Hook: Kalimani]
Fall back (yeah, yeah) Get with the program
Format your mind, accomodate the raw tracks
Ni mizuka juu ya mziki, kuruka
Kubonga juu ya life na maswala ibuka
(X2)
[Verse 3: Kalimani]
A lot of rappers dope in the industry...nope!
They call themselves underground, but that is just hope
That someone's gonna listen and in time they're gonna blow
We end up with two fans and a thousand emcees in a show
That goes to show vile si hujifanya mabro
Kwa media but kindani unadhani we pekee ndio pro
Naskia ni ka nachoka kubembelezana na hawa mafala
Ndio imebidi nimebonga ndio tucheki kile wanaeza fanya
Kama rap ni hobby, ju unaishi Nairobi
Na eti station ni kibao, presenter ushapigia magoti
Kutembea mtaani ukijidai vile uko sawa
Na mabeshte ndio walishindwa kukuambia vile uko down
Hii verse hai-address anyone in particular
Lakini najua ushafikiria msee ndani ya kichwa
Ama labda ni wewe, ndio ushajifikiria
I call it as I see it at least umejijulia
Yeah.... Fall back!