Hey baby Nataka kukuona Sura yako inafanya roho inapona Hey Kweli we ni malaika Hao wengine nawaita kadhalika Hey baby Nataka kukuona Sura yako inafanya roho inapona Hey Kweli we ni malaika Hao wengine nawaita kadhalika Kaa kuna mtu hii dunia ana bahati ni mimi Najua kila mtu ataniuliza kwa nini Manzi yangu bumba hata mi siamini Sitaki Ruth, sitaki Ray, sitaki pia Kanini Kushikwa nimeshikwa nikaweka mfuko Hakuna pickpocket atanitoa huko Ni mimi na yeye Yeye na mimi Tuko pamoja kama mdomo ulimi Amekua na mimi nikikaranga chumvi Atakuwa na mimi nikianza kunona Sijamwona leo lakini story ni hii Nitachukua simu yangu nimwambie hivi Ntasema Hey baby Nataka kukuona Sura yako infanya roho inapona Hey Kweli we ni malaika Hao wengine nawaita kadhalika Hey baby Nataka kukuona Sura yako infanya roho inapona Hey Kweli we ni malaika Hao wengine na waita kadhalika Si kila siku utapata msichana moja mzuri Msichana amesoma 'kini hana kiburi
Msichana saa zingine anasoma zaburi Kusikiza santuri kwake pia desturi Kama niko naye kila kitu ni shwari Naona poa sana ananijali hali Ye ni upepo wangu katika jua kali Tafadhali please nitasema ukweli Akiniacha leo sitafuti mwingine Mambo ya kutafuta niliacha zamani Lakini hiyo haitafanyika jamani Juu hata yeye najua anafikiri hiyi Hey baby Nataka kukuona Sura yako inafanya roho inapona Hey Kweli we ni malaika Hao wengine nawaita kadhlika Hey baby Nataka kukuona Sura yako inafanya roho inapona Hey Kweli we ni malaika Hao wengine nawaita kadhlika I have eyes for only you for only you I have eyes for only you for only you I have eyes for only you for only you Hey baby Nataka kukuona Sura yako inafanya roho inapona Hey Kweli we ni malaika Hao wengine nawaita kadhalika Hey baby Nataka kukuona Sura yako inafanya roho inapona Hey Kweli we ni malaika Hao wengine nawaita kadhalika