[Intro] Nisimamako saa hii Nitazamapo mbele nachocheki saa hii Madada wengi kwa yangu laini Lakini yee ndio nafeel [Verse 1] She (she) she better than the rest Mwili so fine ungedhani goddess Goddamn niliwa at first impressed Si unajua next nilikuwa God blessed (Leggo) Definition ya success Sababu ya mimi kuconfess Alikuwa 'shaniuwa hata bila mi kujua Kanizingua bila mi hata kujua [Chorus] Kati ya wengi Mi kachagua Yee pekee ndio kwangu maua Na ni kati ya wengi Yee katambua Penzi kanifanya kujua X2 [Verse 2] Nuru kwenye mwangaza na... Hata bila kutangaza yee hujulikana Kile hubonga cha maana Green ndio colour yee hulike tu sana Kuna siku tutakasirikiana Sana Kawaida ya wanaopendana Ni ngumu kutenganisha kile divine Asante mola asante Hossana [Chorus] Kati ya wengi Mi kachagua Yee pekee ndio kwangu maua
Na ni kati ya wengi Yee katambua Penzi kanifanya kujua X2 [Verse 3] Soft kama cheddar Ameni-Winnie kila siku ka Mandela Amenikwachu kanifungia kwa jela Mapenzi ingekuwa doh nigemfanyanga teller Angekuwanga upepo ningekuwa bendera Na ningefanya kila kitu ili kumpendeza One in a million One in a billion Bonge la dime hebu pokea hongera [Chorus] Kati ya wengi Mi kachagua Yee pekee ndio kwangu maua Na ni kati ya wengi Yee katambua Penzi kanifanya kujua X2 [Bridge] Nisimamako saa hii Nitazamapo mbele nachocheki saa hii Madada wengi kwa yangu laini Lakini yee ndio nafeel All night all day nimekuwa nikiwaza kumuhusu in vain Lakini saa hizi kampata No more complaints [Chorus] Kati ya wengi Mi kachagua Yee pekee ndio kwangu maua Na ni kati ya wengi Yee katambua Penzi kanifanya kujua X2