Nime zunguka kufanya utafiti
Nimesoma vitabu mbali mbali nikitafuta kuelimika mimi
Ila sikujua kunacho kitabu kimebeba hekima na maarifa yote
Ndani yake muna majibu ya kila swali
Nime soma vitabu vingi
Ila kinacho elimisha zaidi ni neno la Mungu huu uu huhu
Nimeso ooh soma vitabu vingi
Ila kinacho elimisha zaidi ni Biblia
Mungu nime gundua Neno lako lina majibu ya maswali yangu
Mimi nime gundua Neno la Mungu ndilo suluhisho ho ho ho
Oh yes hallelujah
Neno lako ni taa ya miguu yangu
Neno lako mwanga wa njia yangu
Neno lako ni taa ya miguu yangu
Neno lako mwanga wa njia yangu
Mimi natamani ku tembea na neno lako kila wakati
Nahitaji kuishi ku lingana na neno
Natamani ku tembea na neno lako kila wakati
Nahitaji kuishi kulingana na neno
Nitasoma soma soma
Soma neno oh _(Mimi nitasoma neno)_
Soma neno oh oh _(Asubui mchana na jioni nitasoma Biblia)_
Soma neno oh _ (Nitasoma soma)_
Soma
_(Hilo neno hilo neno hilo neno)_
La okoa _(La okoa Walio fungwa)_
La inua _(Nitasoma hilo neno)_
La bariki (Oh lainua wanyonge )
La fariji (hilo neno hilo neno lake Bwana
Linaponya _(Lina ponya magonjwa yote)_
Neno lako ni kweli
Hilo Neno
Nitasoma Biblia yangu
Hilo Neno
Neno lako ni taa ya miguu yangu
_( Baba hilo Neno)_
Neno lako mwanga wa njia yangu
_(Lani angazia ninapo shindwa)_
_(Lani angazia katika giza)_
_(Lani fariji ninapo vunjika moyo)_
Neno lako ni taa ya miguu yangu
Taa ya miguu yangu
Ni angazie Bwana
Ni mulikie njia Baba
Mwanga wa njia yangu
Neno lako mwanga wa njia yangu
Heehhh
Taa ya miguu yangu
Uuuuh Neno lako mwanga wa maisha yangu