we niache niende niende! niende niende!
niache niende niende, niende niende! (verse1)
Uh, usiniulize kwanini, sababu utanizingua
Ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa we kunywa nitanunua
Mi mwanzo sikuamini, nikajuaga vya kuzua
Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua
oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, ah yamenikaa moyoni (chorus)
leo nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage ardhini nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage ardhini we niache niende niende!, niende niende!
niache niende niende, niende niende! (verse2)
Mi kwa mapenzi maskini, nikamvisha na pete kwa kumuoa
kukata vilimi limi, vya wazushi wanafiki wanaomponda
kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu unajisumbua
si tuko kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawahonga oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
na nina mengi, ah yamenijaa moyoni (chorus)
leo nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage radhi nataka kulewa, Lewa!
mi nataka kulewa, Lewa!
nataka kulewa, Lewa!
zikipanda nimwage ardhini we niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende!
niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende! [Kulewa, kulewaa]
[Kulewa, kulewaa]
[Kulewa, kulewaa]