Intro:
Ouh Ouh!!!! Yeah! East Africa Pon Di Place
We nadi Burn dis ting!!! C'ruxx and Bra**...
Chorus:
Tunavunjavunja (Vunja)
Tunatema vitu moto tukiwapa kisogo
Tunavunjavunja (Vunja)
Tunavuka mipaka tukiwapa vitu moto... X2
Bra**: verse1
Sipendi vitu ovyo, nataka moto moto
Sipendi ikiwa nje, nataka ikiwa ndani
Sichezi na punani, lazima wanimeze
Na roll juu ya money wanadhani mi ni witch
Bra** nakucheki, lazima tucheze mechi
Tumetake miaka less but kwao hiyo n fifty
Pang'ang'a wameanza ati mi illuminati
Nawagonga nikipita ju najua mi mnati
Kama chedda niko nayo ,sibongi juu ya doo
Sibongi juu ya fail ju najua mi ndio faul
Kama dame niko nao juu chini kando mbele
Awe trickster mi sijali, awe viper mi sijali
Golddigger mi sijali ju najua mi nina money
You can come around, unapenda drink gani?
Kileo ntakupa but mti utameza
Chorus:
Tunavunjavunja (Vunja)
Tunatema vitu moto tukiwapa kisogo
Tunavunjavunja (Vunja)
Tunavuka mipaka tukiwapa vitu moto... X2
C'ruxx: verse2
Uh! Chics, dudes, kila mtu kwenye club
Hands up in the air, show em now what we are about
The game planners, the head starters
Lil C'ruxx, I'm the young rapper
Chasing dollars , the ladies still love us
I still pop bottles like each and everyday
Dj bring it back! Now let it play
The haters will hate but I never hesitate
I just make the beat drop and then have you all on the dance floor
If you love this song imma give you more
Back at the bar, add more shots
Ni C'ruxx kwenye hii verse, tunawatisha
But mob love for all the pretty ladies
And more drinks down for all my hommies
Chorus:
Tunavunjavunja (Vunja)
Tunatema vitu moto tukiwapa kisogo
Tunavunjavunja (Vunja)
Tunavuka mipaka tukiwapa vitu moto... X2
Bra**: verse3
Game tunak**
Mipaka Tunavuka tukiruka tukirusha
Tunatema vitu kali wanasema tam tam
Najua tu ni mimi, najua tu ni wewe bila shaka tu ni sisi
Tumetoka far, sidhani tumefika
Hii si dumba, hii ni talanta..
C'ruxx:
Ni mi na Bra** kwenya track acha ngoma na ichune
Spika ipasukee, kama wewe dame msupa wajifeel
Zitingishe, jiachilie, eeeeih
It's our time!
Hands up in the air kila mtu
One time, two time, kile time tunashine
Yap, Kila time tunashine
Yap, Kila time tuna...
Chorus:
Tunavunjavunja (Vunja)
Tunatema vitu moto tukiwapa kisogo
Tunavunjavunja (Vunja)
Tunavuka mipaka tukiwapa vitu moto... X2