Verse 1 Mara ya mwisho mimi na wewe Kuonana kipindi kile twasoma Shule ya msingi kigoma Najua ulinipenda Ila hukutaka penzi kulilinda Ungesema mapema Iliniuma sana Mimi leo niko Dar Aliniyenipenda nishamuoa Je wataka kumjua jina? Aitwa Cinderella Rudi home wewe Rudi nyumbani Wasalimie Kigoma Waambie nishaoa Chorus Ulinitesa sana Sababu nilikupenda wajua Kijijini kwa bibi Kigoma Iliniuma sana Mimi leo niko Dar Aliniyenipenda nishamuoa Je wataka kumjua jina? Aitwa Cinderella Rudi home ww Rudi nyumbani Wasalimie Kigoma Waambie nishaoa Verse 2 Hakuna ajuae rangi ya kinyonga Zaidi ya yeye mwenyewe na muumba Nami nakujua wewe huwezi ringa Baby baby Nakuona u mnyonge sana Nami nilikuwa hivyo kule kigoma
Usilie kwa uchungu bwana Imekutachi sana Mimi leo niko Dar Aliniyenipenda nishamuoa Je wataka kumjua jina? Aitwa Cinderella Rudi home wewe Rudi nyumbani Wasalimie Kigoma Waambie nishaoa Repeat Chorus Verse 3 Uliniadi mapenzi ni kweli uliniteka Kadri siku zilivyozidi baby ukanitesa Mami mara uko bize mami Mi mshamba wa mapenzi Si ndo wakashare nami Kila ninapokuona, ninapokuona Moyo unazima nakumbuka tu Kigoma Nakosa raha mwenyewe si unaniona Ila Cinderella kapoza moyo kuchoma Mmmh! Mi nachoka haki ya mungu Inga(wa) ni gani kiasi baby najua machungu Ningetaka kuwa nawe Ningetaka kuwa nawe Ningetaka kuishi nawe Ila tu mm nimeshabaini Hiyo ni true mami Nishampata mwingine ambaye anayenifaa Repeat Chorus