Hey (yei ye yee 2x soniyee) Ye (lolo lololo lilele 3x) Alike (yolo lilele) baby girl CHORUS Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula Msinishangae 4x kwamba anapenda kula Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula VERSE(1) Asi hivi juzi juzi Kulikuwa na shuguli Utawa birika na simali Kulikuwa na pilau na wali Basi nami nikajiunga Pale pale kupiga mvunga Watu wakajipanga Nikaanza kwa tonge na nyama Jamani ninamatonge*4 Mpaka wakanifukuza Nikasema sijali Nikatoa pesa mfukoni Nikanunua mayai Nilijofuata watu wa wakai CHORUS Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula Msinishangae 4x kwamba anapenda kula Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula VERSE (2) Ilikuwa juma pili Siku ya watu wenye ufahali Kujirusha sehemu mbali mbali Nami nikasema leo sikubali Wacha niendee*4 Ila pesa sina natadani kali Nikapita sokoni Nikaomba embe sokoni Nikaelekea baharini Nikawaona wengi ufukweni Hakika na embe jiutani Nakula ili watamani Mate yalwaijaa mdomoni Wakaanza kuniomba Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula Msinishangae 4x kwamba anapenda kula Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula