Ali Kiba - Mali Yangu lyrics

Published

0 784 0

Ali Kiba - Mali Yangu lyrics

Chorus Kama ni makosa kupendelea moyo wangu huchagua Hayo yote nisiumize moyo wako Pia ujumlishe na yale yale yale Mapenzi matamu ya kama halua ya ...? bali yangu yaliwa Verse 1 Mapenzi matamu ya wawili mashallah Walio pendana kwenye hii dunia kama adam na hawa Kwa hii hali mi sijali nivumilie ntazoea Kukonyeze titi? na kujiamini kunisaliti si hatari Kiota changu cha moyo ni zawadi Zinukie hisia zangu kwako kama ua ridi Nishaumizwa sana kukinyesha mvua baridi Kwa jinsi ulivyo utesa staki urudi . Tell molina ali naumia, ali naumia, mapenzi Tell molina ali nateseka, .... Repeat Chorus Verse 2 Pendera, hupendi karaha Nami sinyora, nikose raha Unantia hasara, kula kulala Na garagara, unaniumiza roho You my friend na uliniumiza roho Kila weekend uko busy na hayo Unayoyapenda ya kuuza sura Nilisha? nunua eti unapenda Kutenda kwa yale yote unayo jiskia Baby kwanini mateso, mateso, mateso, mateso ya roho Wengi wanasema usiniumize roho Repeat Chorus Verse 3