Aika - Lini lyrics

Published

0 218 0

Aika - Lini lyrics

Verse 1 (Aika) : Nakuthamini kama dolla Wala usije nichora Ukaniletea ukora..... Chochote unachotaka we hu decide Kwenye mabaya we huni guide You're my baby can't deny Baby hmm (Eeeh) You got my spirit to rise I'm popping (Eeeh) She like a ride to the heavens I'm a puppet X2 Chorus: Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi) Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love) When you wanna fall in love with somebody When you wanna get a lot with somebody Verse2(Alikiba) Atokee kwa bibi Amfunge vikali Akipasi maujanja baby Na me nitamkubali eh Amfunze maujanja (ujanja ujanja) Asiende kwa mganga(mganga mganga) Nimejawa na ma lover lover Hakuna expire Nitalinda na kulea lea Kama mtoto wa jana Nimejawa na ma lover lover Hakuna expire Nitalinda na kulea lea lea lea Leeee.. Chorus: Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi) Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love) When you wanna fall in love with somebody When you wanna get a lot with somebody Verse3(Nahreel): Kuna siri kubwa juu yako na mimi Kukupata mpaka kuwa wangu my queen Nikikuzima me tulia na mimi Ya ndani tuyamalize chini chini Si wajua mwanzo wako we na mimi yo Kukupata mpaka kunijibu ndio Nikikuzima me tulia na mimi Ya ndani tuyamalize chini chini Nikitaka Ile kitu baby wangu come now now now Gimme some more baby now now now Look at my eyes baby now now now Sex in the morning now now now Whine for me baby now now now Bring it turn over Don't blame me baby Don't flex it baby Don't fake it Chorus: Itakuwa ni Lini au saa ngapi (lini saa ngapi) Atakuwa ni mzawa wa wapi(what is love...) When you wanna fall in love with somebody When you wanna get a lot with somebody X2 Nakuthamini kama dolla Wala usije nichora Ukaniletea ukora X2