ABBAS KUBAFF - Bamba lyrics

Published

0 1372 0

ABBAS KUBAFF - Bamba lyrics

(Man speaking) I just don't understand what this bloody hip hop is all about (Woman speaking) Ooh stop it dear, you'll get the hang of it (Verse 1) Hip Hop!! Hii ni hip hop, phenomena Si ni kanyeria na muchanja man Tunachafua basi wapi hio duster pan Oya mifuko zimejaa ka rasta man Itisha kinywaji faster man Kang Kang hapa niko na Tusker can Weka kwa bills si nitalipa na Master Card Watagwan juu ya maji ka Zanzibar Basi Mustang nitaiwacha kwa parking lot Saa ya kwenda home si nitapigia taxi cab Nina msupa amevalia cardigan Ukicheki chest si utapata heart attack Wax on Wax off, Daniel Sun Nikitoast up chupa ya Jameson Ongeza ice iwe kama ya eskimo Chapa shots bottoms up HERE WE GO! (Hook) Leo Leo mziki tunayo Cheki vile kumebamba bamba Leo Leo kinywaji tunazo Cheki vile kumebamba bamba (Verse 2) Kumebamba mikono na super gum Kwenye mic nimeshika na super glue Naichana naitema ka bubble gum Niko waks ka misumaa, candle stand Mi naBang ka Ladesh, Pakistan U.K. nawapound, yes sir yah Me ni king kwenye palace Buckingham Piga matot na wasupa wa Tottenham Mara kwa train inapita Amsterdam Rotterdam niliwa ka-ka Kaang! Ka-Kaang! Sudan watagwan nta come Dadaab Instanbul na ma taki (Turkey) za Abbas Kebab Italy niko Rome, Vatican Hamburg nikicruise kwa autobahn Piga detour ndio nisign ma autograph Nikapiga sign *scratches* Abbas Kubaff (Hook) (Verse 3) Ongeza volume, yeah de man Uiweke kwenye bill ya Just A Band Na akiblink umwambie I'm just a fan Si ni Kubaff yule yule Abbas Kaboom Na raundi hii nimerudi na Master Plan Ya kuchafua party na after bash Na kurarua masanduku za speaker box Ni kwa sababu za leo zimeshika jo! (Hook)