4T DAYZ - BARUA lyrics

Published

0 215 0

4T DAYZ - BARUA lyrics

[Intro] 4T Kwa ii Barua me ndo letter head Struggle Kwa Street, imeni Harden nmekua Warhead [Verse 1]4T DAYZ Street Wise am full of wreck never reckless Cheza na me ndo Shayne, Kwa Ward nkuache ukiwa Breathless Wana 2 treat like Dogs, Ghetto Yout Okotwa Kwa Street ukiwa lifeless HOW COULD YOU BE SO HEARTLESS Mob Injustice, Extra Judicial k**ings KAYOLE 1960 ni Crucial livings Thug-gin, Robbery na Drug dealings Police Brutality, ma Cops bila Feelings 2na Explode Wame 2 fikisha Kwa Ceiling HAKI IWE NGAO NA MLINZI Bila Haki mlinzi amegeuka Mwizi Ghetto Yout 2na Suffer kwa street ao ma Gangstars kwa Ofisi K divert Resources M-PIGS Team Mafisi Breaking into my house Bila Warrant Mr Polisi Cjui Ndo nidishi itabidi Mazishi Representatives wa2wakilishi Liwe liwalo lazima 2ishi YO 4T [Chorus]*4 BARUA ,BARUA ME NAKUPA BARUA NAOMBA UFIKISHE... [Verse 2] ABRA KADABRA Kenya Yetu akuna Majanta Kenya Yetu akuna Matata Kenya Yetu imejaa Mangata Nyi ni Mapunda, Mateke Asanta Alafu ni kama awataki nikae radar Wa i legalize 2 seti io Shada A2taki vitu za msaada Kwendeni Uko, ni kama 2tawa murder Wana 2pata Base, Wanasema Ua hawa Nyi ni nani, na kua watu flani Ni kama ni Mazishi Wamekuja na tu MAUA ABRA KADABRA 2mekuja 2 Kuua Ni nani mtu flani amekunja pia Sura ABRA KADABRA, Bender-son Wagura Ao wasee si wanaiba KURA Aa, Wameiba Kura [Chorus]*4 BARUA ,BARUA ME NAKUPA BARUA NAOMBA UFIKISHE... [Verse 3] DISCIPLE & BOY NAVIS Mwana Siasa nmekutafuta Na thank God, mwishowe nmekukuta Shika Barua Hope Utafikisha, Kama ao Wengine autalalisha Uku kwetu Kumejaa Mashida Uku Kwetu ata Tujalindwa Madem wadogo nikupigwa Dimba Maboy, Kila siku Nikuzimwa.....[ {NAVIS......} UUWI, UUWI, Manduru nje ya dirisha Ndio utukaribisha usiku FAR EAST kunatisha Itabidi mbleina wame wacha kulalisha Nyumba Kumi kutu hamasisha Me nuh laugh bwoy, Me nuh joke bwoy Police ah shoot bwoy Me want a brighter day Too much rough up pon di Street Violence on a ensuite Musically Strong, Me ah Stand Pon me feet [Outro] ABRA KADABRA Oya Oya, Mr Representative ATUTAKI CAR WASH, unajua TU UPGRADIE HALL YETU IKUE YA WASANII WATOTO, WHAT IS THE FUTURE JAMII 1960, Kayole Ma**ive TINGISHA KICHWA.. {fading,,,} Barua barua, m nakupa baruaaaaa